Read children's books in Ukrainian! https://booksmart.world/free

Ilani ya Faragha ya Programu za Worldreader

Muhtasari

Worldreader inachukulia faragha ya watumiaji wa programu tumizi za programu zake kwa umakini. Ufuatao  ni muhtasari wa ni kwa nini Worldreader inakusanya na kuchakata data yako ya kibinafsi wakati unatumia Programu za Worldreader, msingi wa kisheria wa kufanya hivyo pamoja na haki zako.

Mdhibiti

Worldreader.org
Calle Mallorca, 318 3º 1º
08037, Barcelona
Spain

Kusudi

Tunatumia data yako ya kibinafsi kufanya kazi, kutoa, kukuza na kuboresha huduma tunazotoa kwa watumiaji wa Programu za Worldreader. Hizi ni pamoja na:

  • Utoaji, utatuaji matatizo na uboreshaji huduma zetu. Tunatumia data ya utumiaji kutoa utendaji, kuchambua utendaji, kurekebisha hitilafu na kuboresha utumiaji na ufanisi wa huduma zetu.
  • Upendekezaji na ubinafsishaji. Tunatumia data yako ya matumizi kupendekeza vipengele na huduma ambazo zinaweza kupendeza kwako, zingatia aula zako na ubinafsishe uzoefu wako kwa kutumia huduma zetu.

Msingi wa kisheria wa kuchakata data

  • Ahadi za makubaliano (Kifungu. 6(1)(b)  cha GDPR)
  • Idhini(Kifungu . 6(1)(a) cha GDPR)
  • Masilahi halali (Kifungu. 6(1)(f) cha GDPR)

Wapokeaji

  • Washirika na wafadhili watarajiwa na waliopo sasa. Tunatoa data kuhusu demografia, vifaa, na matumizi ya huduma zetu na watumiaji.
  • Watoa huduma wengineo. Watoa huduma wengineo wanachakata taarifa kuhusu vifaa na matumizi ya huduma na watumiaji.

Haki

Watumiaji wa Programu za Worldreader wana haki  ya kufikia, kurekebisha, na kufuta taarifa zao binafsi, na vile vile haki zingine, kama ilivyoelezwa kwenye taarifa za ziada – tazama kiunganishi hapo chini.

Taarifa za ziada

Watumiaji wanaweza kupata maelez